Mtangazaji wa East Africa TV Bw. Allan Lucky Komba ambaye pia ni Rais wa wanafunzi a.k.a SKONGA akimvisha pente ya ndoa mkewe Haika Samwli katika hafla ya ndoa yao iliyofungwa mwishoni mwa wiki hii katika ukumbi wa The Stalion jijini Dar es Salaam
MBUNGE DKT. NEEMA MAJULE AIOMBA WIZARA YA MAJI KUONGEZA UTAFITI WA VYANZO
VYA MAJI
-
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Dkt. Neema Majule, amesema Bajeti ya
Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2026/2027 inapaswa kuelekeza nguvu zaidi
kat...
3 hours ago
0 Comments