Social Icons

Thursday, February 16, 2012

MDHAMINI MKUU WA REDD'S MISS TANZANIA AZINDUA NEMBO YAKE

 NEMBO YA MDHAMINI MKUU  WA SHINDANI HILO NDIYO HII  HAPA.
Uzinduzi huo ulifanyika jana katika ukumbi wa Mlimani City ambapo wadhamini hao wamesema watadhanini kuanzia ngazi ya kituo hadi Taifa na mashabiki wakae katika mkao wa kuona jinsi watakavyo boresha shindano hilo katika kipindi cha miaka mitatu  wakianza na mwaka huu.
 John Mhina Kiongozi wa bendi ya Tanzanite akiimba jukwaani.
 Awaichi Mawalla na Furaha Samalu mwenye Pupple nao walikuwepo.
 Burudani kutoka bendi ya Tanzanite ikienndelea.
 Tayana na Angela Msangi  Mwandishi wa Habari katika Shirika la Utangazaji (TBC) pia ndiye Mratibu wa Miss Kigamboni 2012.


 Wadau katika nyumba .
Lundenga na Somoe pamoja na Miss Tanzania 2011 Salha Israel wakifuatilia jambo na warembo wengine.
 Baadhi ya Warembo walioshiriki katika shindano la Miss Tanzania Mwaka jana wakijimwayamwaya kufurahia uzinduzi huo.
 Wadau kutoka mbalimbali kutoka katika  kila kona Jiji la Dar es Salaam  wakifuatilia uzinduzi huo  ndani ya Ukumbi wa Mlimani City usiku wa jana.
 Khadija, Sele Mbuguni na Angela.

No comments:

 
 
Blogger Templates