KAMPUNI ya TDL inayotengeneza kinywaji cha Konyagi imetangaza kutoa udhamini kwa bendi ya Sikinde Ngoma ya Ukae kwa kuwapatia vyombo pamoja na sare sambamba na marupurupu kibao kwa wanamuziki wa bendi hiyo kila watakapokuwa wakipiga shoo.
Copyright © 2015 - 2025 BongoWeekend All Right Reserved
Developed by Gadiola Emanuel
0 Comments