Kama kawaida unapopenda kupiga picha kuna wakati nawe utapigwa picha,pichani Maganga One Blogger mwenye t`shirt nyeupe akipata picha ya pamoja na msanii Suma Lee na wapenzi wengine waliohudhuria kwenye show hiyo.
Ndani ya show ya Suma Lee sister Vicky kushoto,sister Fatma na brother Bachala Yani mambo ya Flash kama kawaida baada ya show kwisha,pichani Suma Lee akipata kumbukumbu na washabiki wake wa nje ya nchini. walikuwepo kutoa some Love.
0 Comments