KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL), leo imekabidhi vitabu 20,000 vya wiki ya nenda kwa usalama barabarani vilivyochapishwa kwa gharama ya shilingi milioni 36.Vitabu hivyo vitagawiwa watumiaji wa barabara bure nchi nzima ili waweze kuvitumia kama njia mojawapo ya kurejea na kujikumbushia kuhusu utumiaji na usalama barabarani.Wiki ya Usalama barabarani iliadhamishwa kati ya Oktoba 3 hadi 8 mwaka huu.
KIHONGOSI AFANYA KIKAO KAZI NA VIONGOZI,WASANII BENDI YA TOT
-
Na Mwandishi Wetu
KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC)ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi
na Mafunzo Kenan Kihongosi amefanya kikao kazi na viongozi m...
3 hours ago
0 Comments