Chegge akipandisha mzuka wakati wa shoo.
Dj Ritchie kutoka Bongo Dj akifanya vitu vyake.
Makamuzi ya nguvu kutoka TMK yakiendelea.
Misosi nayo ilikuwa ya kumwaga.
Miss Jestina katikati akiwa na wadau waliokuja kwenye show ya TMK.
Wazee wa TMK wakiwa katika picha ya pamoja na promota wao kabla ya shoo.
TMK wakila pozi na shabiki wao baada ya shoo.
Salam,
URBAN PULSE CREATIVE Inakuletea matukio katika show ya TMK iliyofanyika london, Ilford ukumbi wa Empire Suite jumamosi tarehe 3 septemba 2011. Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE wakishirikiana na MISS JESTINA BLOG.
0 Comments