MISS TANZANIA KUONDOKA NA GARI LENYE THAMANI YA SH.MIL72


 Juu na Chini ni baadhi ya warembo ambao walipata fursa leo ya kuonyeshwa zawadi  ya gari aina ya Jeep kwa mshindi wa shindano la Miss Tanzania atakayepatikana baadaye mwaka huu Jijini Dar es Salaam.
Hakuna anayejua nanai ataibuka mshindi siku hiyo wote wanalishangilia.

Post a Comment

1 Comments

Anonymous said…
Jana wameulizwa Tanzania ilitawaliwa na nani enzi za ukoloni.. Wakawa wanasema British, Uingereza, German na Waarabu..
Hahahahaaaaaa inasikitisha Jana wameulizwa Tanzania ilitawaliwa na nani enzi za ukoloni.. Wakawa wanasema British, Uingereza, German na Waarabu..
Hahahahaaaaaa inasikitisha