LAGOS, NIGERIA
MWIGIZAJI wa filamu wa mjini hapa Funke Akindele maarufu kama Jenifa, amesema kuwa anatarajia kuolewa hivi karibuni.Jenifa aliyaweka hayo wazi baada ya kuuliza kwa nini hajaolewa mpaka sasa wakati umri unasogea.Alisema kuwa anayemchumba ambaye wamepanga kufunga naye ndoa na amekuwa akimsumbua kwa muda akimtaka aolewe.Alisema kuwa hivi karibuni atafunga ndoa na amekuwa hataki kuolewa mapema kwa sababu alikuwa akitafuta mwanaume anayemfaa.“Ninachokitafuta hapa ni furaha na si ndoa peke yake, kwani ndoa nyingi zimekuwa zikifungwa na ghafla zinavunjika,” alisema.
TRAMEPRO Yaadhimisha Siku ya Maji Duniani, Yasisitiza Uhifadhi kwa
Maendeleo Endelevu
-
*Kila mwaka tarehe 22 Machi, dunia huungana kuadhimisha Siku ya Maji
Duniani—siku muhimu inayotukumbusha thamani ya rasilimali maji katika
maisha ya kila s...
12 hours ago
0 Comments