Meneja Huduma za Jamii Airtel Tunu Kavishe akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani akizungumza kuhusu mpango wake wa kutoa msaada wa vitabu kwa shule za mzingi ikiwemo SUA na nyingine tano zote za mkoani Morogoro kesho.Aliyekaa kushoto ni Ofisa Habari wa Airtel Jackson Mbando.
Ofisa Habari wa Kampuni ya simu Airtel Jackson Mbando akizungumza juu ya mpango wa Airtel Rising Star utakaowakutanisha vijana 6 kutoka katika mikoa 4 nchini.Mbando alisema ratiba ya mpango mzima itatolewa mara baada ya Mfugo wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani kumalizika.
IPTL YAPATA USHINDI: MWENYEKITI ASAFISHWA NA POLISI
-
JESHI la Polisi Tanzania limetoa cheti cha kumsafisha Mwenyekiti wa Kampuni
ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Singh Sethi dhidi
...
1 hour ago
0 Comments