LAGOS, NIGERIA
TAARIFA zimezagaa zikimuhusisha mwigizaji wa kike wa filamu wa Nollywood, Mercy Johnson kuwa na ujauzito.Zimeendelea kusema kuwa hali hiyo ndiyo iliyomsababisha kutangaza ndoa yake na Prince Odianosen Okojie.Baadhi ya watu wa karibu na mwanadada huyo wamesema kuwa hata kwa upande wa mumewe ana watoto wawili ambao alizaa na mwanamke mwingine.Mwigizaji huyo anayetarajiwa kufunga ndoa na kufanya sherehe siku nne za Agosti 25, 26, 27 na 28 harusi inayotarajiwa kutumia kiasi cha neila milioni 30.
WAZIRI MKUU AONGOZA MKUTANO MKUU WA JIMBO LA BUSEGA
-
*Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi
(CCM) na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Kassim
Majaliwa, ak...
14 minutes ago
0 Comments