Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ndege ya Turkish Airlines. Mr.Mustafa Ozkahraman akiongea kwenye hafla hiyo.
Baadhi ya wageni waaalikwa kwenye Futari iliyoandaliwa na Turkish airlines juzi katika hoteli ya kilimanjaro jijini Dar Es salaam.
Wa pili Kulia, Mkurugenzi Mtendaji wa Turkish arilines Tanzania, akiongoza wageni waalikwa na wafanyakazi wa ndege hiyo kufuturu.
HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM YAKIMBIZA WAHUNI WOTE KWENYE MIRADI YA
SERIKALI
-
Halmashauri ya jiji la Dar es salaam imefuta mikataba yote ya ujenzi ambayo
imekuwa ikisuasua katika utekelezaji na kuisababishia halmashauri hasara
kubw...
1 hour ago
0 Comments