Hapa ni baada ya kupata futari ya ulweeh iliyoandaliwa na Kampuni ya One Plis Communication yenye Ofisi zake Mikocheni Dar es Salaam ndipo tukajibweda na mapichaaazz.Kutoka kulia ni Khadija Kalili, Sakina Lyoka, Fatma Hassan (DJ Fetty) na Shadee wote kutoka Kampuni ya Clouds Media Group.Ramadhan Kareem.
Mashaallah mashungi yamekubalii watoto muendelee vivyo hivyoo eennhh.
Pozi zilizidi aah mambo ya futari hayooo.
Shoto ni Shadee, Sakina na Khadija.
Sakina na Khadija.
Kutoka kulia ni Khadija, Asha Said Kigundula mwandishi wa gazeti la Jambo Leo na Naibu Mhariri wa Michezo wa gazeti la Serikali la Habari leo Zena Chande.
LEMA AMTAKA MBOWE KUSIKILIZA USHAURI WA FAMILIA YAKE WA KUTOGOMBEA TENA
-
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amtaka
mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe kutogombea tena nafasi hiyo kama
alivyosh...
27 minutes ago
0 Comments