Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bi. Asha Rose Migiro akizungumzia umuhimu wa Taifa kusimamia haki ya mtoto ya kuishi kwa amani na furaha bila kufanyiwa Ukatilii wa aina yoyote katika Kilele cha uzinduzi wa ripoti ya Utafiti na Mpango wa Kitaifa wa kushughulikia "Ukatili kwa Watoto" na mpango wa Udhibiti wa Taifa.
Pichani Juu na Chini Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Taifa Dkt. Asha Rose Migiro na Waziri wa Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto Mh. Sophia Simba wakizindua rasmi Ripoti ya Utafiti na Mpango wa Kitaifa wa Kushughulikia "Ukatili kwa Watoto " na Mpango wa Udhibiti wa Taifa.
Pichani Juu na Chini Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Taifa Dkt. Asha Rose Migiro na Waziri wa Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto Mh. Sophia Simba wakizindua rasmi Ripoti ya Utafiti wa Mpango wa Kimataifa wa Kushughulikia Ukatili kwa Watoto na Mpango wa Udhibiti na Mpango wa Taifa .
Pichani Juu na Chini Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Taifa Dkt. Asha Rose Migiro na Waziri wa Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto Mh. Sophia Simba wakizindua rasmi Ripoti ya utafiti na Mpango wa Kitaifa wa kushughulikia "Ukatili kwa Watoto " na Mpango wa Udhibiti wa Taifa.
Mabalozi wawakilishi wa nchi mbalimbali nchini wakifuatilia uzinduzi wa ripoti hiyo.
0 Comments