In that regard SBL IS HOSTING GOLDEN MOMENT FIESTA GRAND FINALE BY WELCOMING ARTIST LUDACRISTO CELEBTARE IT'S BRAND'S SUCCESSFUL MOMENT


 Kutoka kulia ni Fauzia Abdi wa Clouds Media akifuatiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Fiesta Ruge Mutahaba, Ludacris, Meneja wa Bia ya Serengeti  na Caroline Ndungu aliyekuwa Mkurugenzi Masoko SBL nayehamia Nairobi, Kenya (EABL) leo asubuhi katika mkutano na waandishi wa habari hawapo pichani ambapo walizungumza machache kuhusu tamasha la kesho la Serengeti Fiesta 2011.
 Meneja wa Bia ya Serengeti Allan Chonjo ametoa wito kwa wadau, wakaazi wa jiji la Dar es Salaam na mikoa jirani kuto kosa tamasha la kesho la Serengeti Fiesta 2011.

 Kushoto Meneja wa Bia ya Serengeti Allan Chonjo katikati ni Ludacris atakayekamua kesho Leaders Club  na Mwenyekiti wa Kamati ya Serengeti Fiesta Ruge Mutahaba. Hapa Ludacriss akifafanua jambo moja kati ya aliyosisitiza kwa wasanii kuwa na nidhamu katika kazi yao ya muziki kwani ndiyo msingi wa maendeleo.
 Ludacriss akiachia Freestyle katika mkutano na waandishi wa habari uliomalizika muda si mrefu katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski.
 Meneja wa Bia ya Serengeti Allan Chonjo Kushoto akifurahia jambo katika mkutano leo asubuhi.
 Mkutano ukiendelea.
Ludacriss mbele Khadija nyuma Haina Majotrooo.
SBL Main Sponsor of Fiesta 2011
Serengeti Breweries Limited, through its Premium Serengeti Lager Brand (PSL), has this year, once again, sponsored the Fiesta 2011 for the third year running.
In that regard SBL is hosting the Golden Moment Fiesta Grand Finale by welcoming artist Ludacris to celebrate its brand’s successful moment.
Speaking at the press conference today, SBL’s PSL Brand Manager Allan Chonjo said that today is a great day for Serengeti Breweries Limited, through Premium Serengeti Lager, to bring you Serengeti Fiesta 2011, which is celebrating its 10 year anniversary.
We would like to thank all of you for the support which you have been giving us in pushing this brand forward. This is a continuation of the Golden Moments celebration as we celebrate the achievements Premium Serengeti Lager has had in achieving gold medals in international brewing standards. Premium Serengeti Lager has won gold medals including the German DLG medal in 2009 and 2011 as well as Belgium Monde selection in 2008.
We are bringing you this golden moment achievement though Serengeti Fiesta for you to have fun and share your golden moments with others. Serengeti Fiesta this year started in Mwanza and this is the 12th and final show we are having.
For this grand finale, we decided to bring to you this international artist (Ludacris) who will be performing live at the Leaders’ club tomorrow 30th July 2011, so please be there.
Finally, I would like to welcome all of you there to share your golden moments
Teddy Mapunda
Corporate Relations Director
Email: teddy@serengetibrew.com
Tel 255 784 747 665

Post a Comment

0 Comments