Mchezo huo unatarajia kuchezwa jumamosi hii ya Juni 18 , katika mji wa Kinshasa nai Simba inaendelea na maandalizi ya mechi hiyo baada ya kuifunga Motema Pembe bao 1-0 jumapili iliyopita katika dimba la Taifa, jijini Dar es Salaam.
Copyright © 2015 - 2025 BongoWeekend All Right Reserved
Developed by Gadiola Emanuel
0 Comments