MBEYA KIDEDEA SERENGETI FIESTA FREESTYLE 2011

Kijana Raymond Shaban kutoka Mbeya akifanya Free Style kwa mashabiki wake, mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano hilo lililofanyika jioni ya leo kwenye ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es salaam, kutoka kulia ni Rubeny mtangazaji kutoka Clouds.
(Picha Zote na John Bukuku wa Fullshangwe Blogspot)

Majaji wa shindano la Serengeti Fiesta Fiesta Farid Kubanda (Fid Q) jaji na kushoto ni Jaji Chief Rymson .

Baadhi ya washiriki kutoka katika mikoa ambapo waliwakilisha ivyo jana kwenye ufukwe wa Cocobeach.

Mashabiki wakiwa wamefurika katika ukumbi wa Coco Beach wakati wa shindano la Serengeti Fiesta Freestyle Battle lililofanyika leo jijini Dar es salaam.

Rota kutoma Morogoro akionyesha makali yake hapa ilikuwa ni katika wakati wa kubattle, lakini bahati haikuwa yake safari hii.

Post a Comment

0 Comments