MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO NEW YORK NA VITONGOJI VYAKE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Zakhia Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa jumuiya hiyo baada ya kuwahutubia.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Zakhia Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wanachama wa jumuiya.Picha Zote na Muhidin Sufiani-OMR.


Idd mtoto wa Kawe jijini Dar es Salaam, (kulia) akijumuika na wadau wenzake katika hafla hiyo ya wabongo.
Sufianimafoto pia alikuwa ni miongoni mwa waliohudhuria hafla hiyo, hapa akipozi na mchezaji wa zamani wa timu ya Balimi Fc ya Kagera, Henri (wa pili kushoto) na dada zake.


Mchezaji wa zamani wa timu ya Balimi Fc ya Kagera, Henri Rwekagingira (wa pili kushoto) akipozi na dada zake kwa picha wakati wa hafla hiyo.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Zakhia Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wanachama wa jumuiya.





Baadhi ya Watanzania waishio New York na vitongoji vyake wakimsikiliza kwa makini Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed gharib Bilal, alipokuwa akiwahutubia.

Post a Comment

0 Comments