YALIYOJIRI KATIKA NUSU FAINALI YA KUMSAKA KIMWANA MANYWELE WA TWANGA PEPETA 20011 NDANI YA CLUB SUN CIRO

Mkurugenzi wa Kampuni ya The African Stars Entertainment (ASET),Asha Baraka akizungumza ndani ya Club SunCiro, katika shindano hilo la nusu fainali lililofana.

Kutoka kushoto ni MC Sauda Mwilima, Mratibu wa shindano hilo Maimatha Jesse (Mai), Asha Baraka na Khadija Kalili.
Washiriki wa shindano hilo wakiwa jukwaani katika shindano la kumsaka Kimwana wa Twanga 2011

Miondoko ikiendelea nyoka zikakatwa kila mmoja kwa umahiri wake aliojaaliwa.
Migongo ikapindwa basi ilimradi ilikuwa rahaaaaa.

Hapa kazi ikiendelea.


Majaji akiwamo Mtangazaji wa Kituo Cha Redio Clouds Gerald Hando wakiwatendea haki washiriki aliyeketi ni aliyekuwa mshindi wa pili wa shindano la Kimwana Manywele 2007 Husna IddWapiganaji kutoka Kampuni ya Global Publishers kutoka shoto ni Mateja na Shakoor Jongo 'Zungu'



Wanenguaji wa bendi ya Twanga nao wakiwajibika kazini siku ya onyesho hilo.

Maria Soloma na Mwarabu wakikamua.

Aghhhhhh ni kazi tu hii jamanii looh.


Kazi ikiendelea walinivutia sana hawa siyo kama sikuwaona wengine.

Post a Comment

0 Comments