Hawa ndiyo wakali wa kuchana mistari ambao watawakilisha Jiji la Mwanza 'Rock City' katika shindano la kumsaka mkali wa kuchana litakalofanyika baadaye Jijini Dar es Salaam na kuwashirikisha washindi wengine waliopatikana katika Mikoa ya Arusha, Tanga, Mbeya, Zanzibar , Morogoro ns Dar es Salaam iliyogawanywa katika wilaya tatu ambazo ni Ilala, Temeke na Kinondoni. Wadau na mashabiki waliojitokeza leo katika kushuhudia mtanange huo uliofanyika katika ukumbi wa Lips Club uliopo Isamilo Lodge Mwanza.
Bingwa wa kuchana kulia Roland Barnabas hapa akinata na Beat wakati wa nusu fainali ndani ya Lips Club.
Baadhi ya masabiki waliojitokeza leo kushuhudia mambo yanakwendaje na kuwajua wakali wao.
Roland akifurahi mara baada ya kutangazwa kuwa amepata tiketi ya kwenda Dar es Salaam .
Mkuu wa shindano la Fiesta Freestyle Dj Fetty hapa akitoa maamuzi magumu ya kuwatangaza washindi Roland na Nyambo Francisc o ambaye ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM).
Mwakilishi wa Rock City Nyambo Francisco hapa akionyesha jinsi anavyojiamini.
Dj Fetty akizungumza na mashabiki na wadau hawapo pichani kabla ya kutangaza matokeo ya dansi la fiesta 2011.
Dj Fetty hapa akituliza mizuka ya Ma MC' wa Mwanza lakini kila kitu kilikwenda kama kilivyopangwa.
Reuben 'Ncha Kali' hapa akiwa na wakali wa kuchana ambao pia ndiyo watawakilisha Mwanza ku\shoto ni Roland Barnabas na kulia ni Nyambo Francisco.
Mambo ya kubattle yakiendelea.
Hawa wwaliingia katika nane bora kabla ya kuingia nne bora na baadaye wawili ambao ni Roland na Nyambo wote wamechukuliwa kutokana na kufanya vizuri.Chini ni katika hatua ya 16 bora kati ya washiriki 40 wasliojitokeza.
BODI YA USIMAMIZI WAPIMA ARDHI YAKUTANA DODOMA
-
Na Munir Shemweta, WANMM
Bodi ya Usimamizi na Utoaji wa Leseni kwa Wapima Ardhi (Board of Control
and Licensing of Surveyors-BCLS) imeanza kikao chake cha ...
BODI YA USIMAMIZI WAPIMA ARDHI YAKUTANA DODOMA
-
Na Munir Shemweta, WANMM
Bodi ya Usimamizi na Utoaji wa Leseni kwa Wapima Ardhi (Board of Control
and Licensing of Surveyors-BCLS) imeanza kikao chake cha ...
TUME KUONGEZA BVR VITUO VYENYE WATU WENGI DAR
-
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa Jacobs
Mwambegele akimkabidhi kadi mpya ya Mpiga Kura Ndg. Abubakari Majuto mkazi
wa...
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online
-
Bergabung dalam permainan judi sicbo online yang dapat dimainkan melalui
smartphone, maka tentu saja para pemain bisa melakukan sejumlah taruhan
dengan nya...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments