TMU YA WASANII WA FILAMU A BONGO NA MADJ MWANZA HAKUNA MBABE

Wacheza filamu nyota wa kike wakiwa katioka moja ya pozi ya picha hapa ni ndani ya uwanja wa CCM Kirumba Mwanza ambako walikuwa wakihamasisha wachezaji wa timu ya soka wanaume ambao wametoka 1-1 na Ma Dj pamoja na wanahabari wa Mwanza.

Kikosi Cha timu ya Bongo Movie hapa wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mechi kuanza.

Hapa wakapiga na maua yanayopamba Bongo Movie kabla ya mechi iliyopigwa CCM Kirumba.
Mbunge wa Ilemela Mh.Kiwia akiwa katika picha ya pamoja na wasanii ambao walikuwa nje ya uwanja wakifuatilia mechi leo.

Mbunge wa Ilemela I.Kiwia akisalimia timu ya wasanii leo CCM Kirumba kabla ya mechi.

Baadhi ya wachezaji wa timu ya Bongo Movie hapo utamwona Ray ambaye alipachika bao kwa timu yake.



Kutoka Kushoto ni JB, Steve Nyerere na Ben Kinyaia.
Mbunge wa Ilemela Mkoani Mwanza kwa tiketi ya CHADEMA I.Kiwia akisalimia timu ya Bongo Movie hapa akisalimiana na Ben Kinyaia katika uwanja wa CCM Kirumba.


Kanumba na Bob Richie hapa wakiwa nje ya Uwanja.

Post a Comment

0 Comments