Hapa ni Uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga na hawa ni mashabiki Arsenal wakiwa katika moja ya shamrashamra za msimu wa raha kamili sanjari na Tamasha la Serengeti Fiesta Soka Bonaza.
Wadau wa Bwawa la Maini katika picha ya pamoja.
Mchezaji wa Man U akimtoka mchezaji na shabiki wa Barcelona leo Mkwakwani.
Mchezaji pia shabiki wa Man U akimtoka mnazi wa Barcelona.
Wapenzi wa Man U wakimnyanyua mmoja wa wachezaji wao ikiwa ni sehemu ya kusherekea ushindi wao dhidi ya timu ya wanazi wa Barcelona katika mechi ya kirafiki iliyopigwa leo kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga.
Mashabiki wa vilabu vya Ulaya wakiwa katika picha ya pamoja pamoja na mwali wao waliyembeba leo katika tamasha la Fiesta Soka Bonanza 2011 sambamba na kusherehekea msimu wa dhabahu.
Wadau wa Man U wakifurahia zawadi ya Kombe lao mara baada ya mchezo huo walioshindwa kwa mikwaju 3-1 .
0 Comments