WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAJITOKEZA TAMASHA LA TOGO PESA LILIFANYIKA KWENYE VIWANJA VYA FURAHISHA

Customers registering for Tigo Pesa services during the one day festival to prompt Tigo Pesa Services for lake Zones. The event was held on Saturday at Furahisha Ground in Mwanza.

Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Juma Nature akitumbuiza katika tamasha la Tigo Pesa lililofnyika juzi katika viwanja vya Furahisha mjini Mwanza. Tamasha hilo lilikuwa maalum kwa ajili ya kuhamasisha matumizi ya huduma ya Tigo Pesa inayotolewa na kampuni ya Tigo.

(Picha Zote kwa Hisani ya Tigo).

Post a Comment

0 Comments