Mnenguaji machachari wa bendi ya FM Academia hapa akiwa katika onyesho la bendi hiyo lililorindima kwenye ukumbi wa Kijiji cha Makumbusho,Dar es Salaam.Queen Suzy ametua Bongo mara baada ya kutoka Umangani ambako alikwenda kwa shughuli za kikazi.
Post a Comment
1
Comments
Anonymous said…
Alikuja huku kwa shughuli za kujiuza sio kikazi kama mwandishi alivyooandika.
1 Comments