ASALAAM ALAIKUM WANAWAKE WOTE POPOTE PALE MLIPO, IKIWA LEO NI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI SANJARI NA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 TANGU KUASISIWA KWAKE DUNIANI KWANZA NAPENDA KUWWAKUMBUSHA WANAWAKE KUMCHA MUNGU NA KUWA NA HOFU NA MWENYEEZI MUNGU WAKATI WOTE MAOVU MENGI YATAPUNGUAA KAMA SIYO KUMALIZIKA KABISA KWA SABABU MAMA NDIYO MSINGI KATIKA FAMILIA, WWEZA KUWA DADA KAMA SIYO MAMA, AUNT BIBI (NYANYA), WANAWAKE NI WAKATI WETU SASA KUBADILIKA KWA KUACHA MAOVU AMBAYO TUMEKUWA TUKIYAKUMBATIA KILA KUNAPOKUCHA.KWANZA WENGI HATUPENDANI HIVYO NAWASHAURI TUCHULIANE KWA UPENDO, TUHESHIMIANE KATIKA RIKA ZETU.KUSAIDIA NI JAMBO JEMA LAKINI LEO ENDAPO MWANAMKE MWENZAKO ATAKUSAIDIA BASI UJUE MTAA WA PILI WWATAJUA KWAMBA KAKUSAIDIA HAIPENDEZI.KUJIFANYA ANAUJUA UNDANI WA MWENZAKO KULIKO HATA ANAVYOJITAMBUA YEYE HASA UKIMKUTAA ANAMHADITHIA . WANAWAKE WENZANGU TUKIENDEKLEZA MAJUNGU KAMWE MAFANIKIO HAYATAKUJA NA KUJIPUNGUZIA BARAKA NA RIZKI KATIKA MAISHA YAKO. TUELIMISHANE KUKOSOANA KWA UPENDO HILO LITAKUWA NI JAMBO JEMA NA LITAKALOEPUSHA MIGOGORO NA MIGONGANO YA MARA KWA MARA,YAANI NI HIVI UNAWEZA KUWA KATIKA HAFLA MAONYESHO AU PATI BASI UTAONA WANAWAKE WENYEWE KWA WENYEWE TUNAGAWANYIKA KATIKA MAKUNDI NA KUANZA KUSEMANA MARA HUYU HAJAPENDEZA ETI ANAJISHAUA YAANI HATA KAMA MTU HAKUJUI NA WALA HUJAJISHAUA BASI WAO KWA ROHO MBAYA ZAO WATAKUSEMA HATA KAMA HUNA HABARI NAO, BINAFSI SIIPENDI TABIA HII. KWANI HATA KAMA MTU ANAJISHAUA NA WEWE SI UJISHAUE KIVYAKO?!HAKUNA ATAKAYEKUZUIA MAISHA YENEWWE MAFUPI HAPA DUNIANI.MWISHO NAWATAKA WANAWAKE KUWA KATIKA MSTARI WA MBELE KATIKA MASUALA YATAKAYOLETA TIJA NA MAENDELEO IKIWWA NI PAMOJA NAA KUPIGANIA HAKI ZAO.PIA KWA KUKUMBUSHANA TU KAULI MBIU YA MWAKA HUU INASEMA "FURSA SAWA KATIKA ELIMU,MAFUNZO,SAYANSI NA TEKNOLOJIA.
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online
-
Bergabung dalam permainan judi sicbo online yang dapat dimainkan melalui
smartphone, maka tentu saja para pemain bisa melakukan sejumlah taruhan
dengan nya...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments