Msanii Khadija Shaaban almaarufu kwa jina la kisanii K-Sher aka Mama Jam Key amefunguka “Kwanza namshukuru Mungu kwa kujifungua salama na kuweza kubeba dhamana ya kuitwa mama,hii itanifanya nizidi kujituma katika maisha yangu ili mwanangu aweze kuishi maisha mazuri hapo baadaye”anasema.
Mara ya mwisho K-Sher aling'ara kwenye wimbo wa Bado Tunapanda akiwa na Kundi la Tip Top Connection toka pande za Manzese-Dar es Salaam ila alisema pamoja kuitwa mama,bado ataendelea na kazi yake ya sanaa japo alipotea kitambo na hakusikika kwa muda mrefu.Kimya kingi kina mshindo mkuu.Pole sana na hongera sana pia karibu K-Sher katika ulimwengu wa wanafamilia na uyapokee majukumu ya kuitwa mama.
Bodi ya michezo ya kubahatisha (GBT) yazindua kampeni Fichua, Tukomeshe
Mashine Haramu za Dubwi, kamata kamata kufanyika nchi nzima
-
Na Mwandishi wetu
Dar es Salaam. Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) kwa
kushirikiana na wenyeviti wa serikali za mitaa wa mkoa wa Dar es Sala...
1 hour ago
0 Comments