Mkurugenzi wa Kampuni ya One Plus Communications Fina Mango naye amepata mtoto wake wa kifungua mimba kiume wiki mbili zilizopita,hongera sana.Kabla ya kuwa na Kampuni yake Fina alikuwa mtangazaji nyota katika kipindi cha Power Breakfast, kinachorushwa katika kituo cha redio cha 88.4 Clouds FM.Hivi sasa Kampuni ya One Plus inajihusisha na kazi za kuratibu matamasha mbalimbali ikiwemo kuratibu mikutano ya Tuzo za Tanzania Kilimanjaro Music Awards (TMA), pia huratibu kazi mbalimbali za kijamii hasa za Kampuni Kubwa nchini. Hongera sana Fina na Mungu akukuzie mtoto wako.
TUME YATOA NENO KWA WAANDISHI WASAIDI NA WAENDESHA VIFAA VYA BVR MBEYA
-
Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa)
Jacobs Mwambegele, akikagua mafunzo kwa vitendo ya Waandishi wasaidizi na
waende...
2 hours ago
0 Comments