Mnenguaji ambaye tangu ajiunge na bendi hiyo miaka 11 iliyopita hakuwahi kuhama Mussa Hassan 'Nyamwela' wa pili kushoto leo ametangazwa kujiunga Extra Bongo.*****************************************************
Bendi ya muziki wa dansi ya Extra Bongo jana tangaza kuwachukua wanamuziki wanane kutoka bendi ya The African Stars Twanga Pepeta.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika kwenye ukumbi wa rufita Mkurugenzi wa bendi ya Extra Bongo Ally Choki aliwatangaza wanamuziki hao kuwa ni Roggert Hegga ‘Caterpillar’, Saulo John ‘Ferguson’ Rapa, Hosea Simon mpiga gitaa na God Kanuti aliyekuwa akikung’uta gitaa la Solo.
Wengine waliojiunga na bendi hiyo ni wanenguaji Mussa Hassan ‘Nyamwela’ na Otilia Boniphace.

0 Comments