Nyota kibao watakuwemo kwenye filamu hii kaa chonjo.Inasemekana kwamba wakati wakiwa waitayarisha filamu hii wasanii hawa walitengeneza bifu Yussuf Mlela na Hemed walitengeneza bifu ili waweze kuuza filamu hii lakini hivi sasa bifu hilo limezaa uadui mkubwa miongoni mwao .Bifu hilo lilihusu kila mmoja akimtambia mwenzake kwamba yeye anajulikana kuliko mwenzake na mjuzi mno.
WATU WATANO WAFIKISHWA MAHAKAMANI MADAI YA KUHARIBU,KUHUJUMU MIUNDOMBINU YA
RELI YA KISASA (SGR)
-
WATUHUMIWA Watano Wakiwemo Raia Wa China Wawili Wanaokabiliwa na Tuhuma
za Kuharibu Miundombinu Ya Reli Ya Kisasa (SGR) Wamepandishwa Kwa Mara
ya p...
5 hours ago
0 Comments