Kiongozi wa bendi ya Jahazi Modern Taarab Mzee Yusuf anatarajiwa kuonekana tena Jukwaani katika sikukuu ya Valentines Day ambapo yeye na kundi lake watashusha raha kwenye ukumbi wa Traverntine Magomeni Mikumi Jijini Dar es Salaam.Aidha siku hiyo Mzee anatarajiwa kutambulisha wimbo wake mpya ambao aliutunga wakati akijiuguza maradhi ya mguu utakaokwenda kwa jina la 'Bado Nipo Nipo Kufa Mipango ya Mungu' wimbo huo ameutunga baada ya kuzushiwa kifo ilhali jamaa akiwa mzima katika mapumziko ya ugonjwa nyumbani kwao Michenzani Zanzibar.
MWANAMKE MMOJA AFARIKI DUNIA AJALI YA ROLI MBEZI KWA MSUGULI
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Mwanamke mmoja amefariki dunia baada ya gari aina ya roli lenye namba ya
usajili T696 CLY kuacha njia na kumgonga mwanamke ...
2 hours ago
0 Comments