Aliyekuwa Rapa wa bendi ya The African Stars Twanga Pepeta Khalid Chuma 'Chokoraa' aliyekaa katikati hivi sasa siyo mwanamuziki wa bendi hiyo ameengeuliwa yeye na Kalala Junior ambao wametangwzwa kujiunga na bendi ya Extra Bongo inayoongozwa na Ally Choki.
Rais Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmi Ufunguzi wa Uwanja wa Gombani
-
Wilaya ya ChakeChake Pemba 13.01.2026.
Ujenzi na Ukarabati wa Viwanja mbalimbali vya Michezo ni miongoni mwa
juhudi zinazochukuliwa na Serikali katik...
1 hour ago
0 Comments