tamasha la msimu wa raha kamili na serengeti lafana mjini tunduma leo.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Sam wa ukweli akiwapagawisha wakazi wa mji wa Tunduma leo jioni na wimbo wake wa sina raha kwenye tamasha la Msimu wa raha kamili na Serengeti,lililofanyika katika uwanja wa Mwaka na kuhudhuriwa na wakazi wa mji huo kibao.
Jukwaa likishambuliwa vilivyo hapa.Pichani ni Beka Boy,Bornaba na Amin,wasanii wote kutoka nyumba ya vipaji a.k.a THT wakionyesha umahiri wao wa kuimba.

Barnaba akitumbuiza jukwaani na wimbo wake uitwao nabembelezwa.
Wateja wa kinywaji cha Serengeti hapa ndio palikuwa mahali pao pa kujiachia.
Watu kibao kutoka kila kona ya Tunduma walifika kwenye tamasha la msimu wa raha kamili na serengeti jioni ya leo kwenye uwanja wa Mwaka.

Post a Comment

0 Comments