
Rais Jakaya Kikwete akikagua Gwaride leo katika sherehe za miaka 49 ya Uhuru wa Tanganyika zilizofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Rais Jakaya Kikwete akiingia katika Uwanja huo .

Hapa Rais Dk.Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais Dk.Gharib Bilal.

Akisalimiana na Makamu wa pili Rais Zanzibar Seif Sharif Hamad.Picha zote kwa hisani ya
www.Jiachie.blogspot.com
0 Comments