
Mabingwa wa michuano ya Tusker 2010 timu ya Taifa ya Kilimanjaro Stars mchana huu watapata mlo wa mchana pamoja na Rais Jakaya Kikwete Ikulu Dar es Salaam.Mualiko huo wa Rais umekuja mara baada ya kuilaza timu ya Taifa ya Ivory Coast 1-0 jana.Pia amewatumia salamu za pongezi.
1 Comments