Kilimanjaro Stars jumapili hii itakipiga na ivoary Coast katika mechi ya fainali ya kombe la Chalenji, mechi itakayorindima kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.Stars imetinda hatua hiyo baada ya kuwavua ubingwa watetezi wa michuano hiyo Uganda kwa matuta 5-4, hiyo ni baada ya kumalizikia kwa dakika 120 bila ya kupatikna mshindi.
Aidha, Ivoary Coast nayo imekata tiketi hiyo baada ya kuifunga Ethiopia bao 1-0.
Mradi wa PACSMAC Wabainisha Suluhisho la Changamoto za Tabianchi kwenye zao
la Kahawa
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Serikali imejipanga kuwezesha upatikanaji wa maji kwa ajili ya kilimo cha
umwagiliaji katika zao la kahawa, kwa lengo la ku...
4 hours ago
0 Comments