Miss United States, Alexandria Mills, ndiye Mrembo wa dunia baada ya kuwagaragaza wenzake 100 wakati wa fainali hizo zilizofikia tamati usiku wa kuamkia leo katika mji wa maraha wa Sanya, nchini China. Mrembo huyo mwenye umri wa miaka 18 tu! kwa upande mwingine Mrembo wa Botswana, bibie Emma Wareus ameitoa Afrika kimasomaso baada ya kushika nafasi ya pili mbele ya mrembo wa Venezuela, Adriana Vasini. Kwa matokeo hayo Miss Tanzania hakunusa hata 50 bora za warembo wa dunia.
JUKWAA LA TATU LA WAKUU WA TAASISI ZA SMT/SMZ LAFUNGULIWA ZANZIBAR
-
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla amesema
Kongamano la Jukwaa la Wakuu wa Taasisi za SMT na SMZ lina lengo la
kuwakutanisha W...
1 hour ago
0 Comments