Shirikisho la Soka nchini (TFF) leo wametoa jezi kwa waandishi wa habari wote waliofika katika ofisi hizo ikiwa ni siku moja tu baada ya Chama Cha Waandishi wa Habari za Michezo kutoa Tamko kali dhidi ya Shirikisho hilo kuwanyanyapaa wanahabari katika mechi za Kimataifa.Pichani ni moja ya jezi hizo.
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA UKIMWI YAPONGEZA UTEKELEZAJI WA AFUA
ZA UKIMWI NJOMBE
-
NA. MWANDISHI WETU – LUDEWA
MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI,
Mheshimiwa Dkt. Elibariki Kingu ametoa piongezi kwa M...
6 hours ago
0 Comments