Social Icons

Friday, October 1, 2010

Mwanike ya Mashujaa kumzingua Ferre Golla Diamond?

Ferre Gola akisema jambo, baadaye usiku wa leo atatoa burudani katika uzinduzi wa bendi ya Mashuu Musica ambao utafanyika baadaye usiku wa leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Upanga Dar es Salaa Mashujaa Musica wanatamba na vibao kama 'Mwanike' kilichoimbwa katika lugha ya Kisukuma ukiwa ni utunzi wa Rapa Muimbaji Ngosha Masanja, Mkono Shavuni Utunzi wa Jado FFU na nyingine nyingi.Bendi ya Mashujaa inamilikiwa na Kampuni ya Mashujaa Ivestment ikiwa chini ya Mkurugenzi wake Mamaa Sakina Maisha.

No comments:

 
 
Blogger Templates