
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency ambaye pia ni Mratibu wa shindano la Miss Tanzania, ndiye kiongozi wa msafara huo hapa akiwa katika Uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam.

Kutoka kushoto ni mama mzazi wa Miss Tanzania Genevieve anayefuata ni baba wa mrembo huyo Genevive na kulia ni Lundenga wakibadilishana mawazo kabla ya kuondoka hapa wakiwa katika viunga vya Uwanja wa Ndege wa JK Nyerere Dar es Salaam.
0 Comments