Maskauti hawa wa kike walinivutia sana hasa kutokana na ukakamavu na wepesi wao.
Hapa wakijipoza makoo kwa barafu za Azam,
Skauti Baraka Mhina akisoma Risala mbele ya aliyekuwa mgeni rasmi ambapo alisema kulingana na Teknolojia ya Mawasilia kuzidi kupanuka siku hadi siku Ulimwenguni kote kwa sasa kuna mawasiliano kwa njia ya Internet ambapo pia Skauti huwasiliana na Skauti wengine duniani kwa kutumia mtandao wa Kompyuta.
Skauti wakiimbishwa nyimbo mbalimbali ambapo pia ilikuwa burudani tosha.
Kamishna Mkuu Msaidizi wa Skauti Tanzania Hida Ricco akifungua mkutano.
Mkuu wa Kikosi Cha Usalama Barabarani Tanzania Mohammed Mpingaakiwa katika mahojiano na wanahabari hawapo pichani baada ya uzinduzi huo nje ya jengo la Makao Makuu leo mchana.
Kamanda Mpinga akifuatilia uzinduzi wa Jamboree on the Internet, Makao Makuu ya Skauti.
Jamboree ya Hewani ya Maskauti ni tukio ambalo huhusisha Skauti wote ulimwenguni kuzungumza na skauti wenzao kwa kutumia Redio.
MKUU wa Kikosi Cha Usalama Barabaran Mohammed Mpinga jana ametoa ahadi kwa kusaidiana na Chama Cha Skauti Tanzania katika kutafuta wadhamini watakaowapatia redio ili waweze kushiriki katika kambi za Jamboree Hewani .
Mpinga alisema hayo jana wakati apokuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Jamboree ya Hewani ya Maskauti inayoadhimishwa kila ifikapo Oktoba 16 kila mwaka uklimwenguni kote.
Mbali ya ahadi hiyo pia Mpinga iliyokuja baada ya kupokea maombi ya Redidio ili Skauti wa hapa nchini waweze kuwasiliana na kusaidia wanachama wake nchini kote.
Pia amepongeza juhudi Chama hicho kwa kuwakusanya vijana wadogo huku akitaka mpango huo uwe endelevu katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Chama Cha Maskauti Tanzania yaliyopo Upanga Dar es Salaam.
Akizungumza katika risala waliyosoma mbele ya Mpinga Baraka Mhina alisema kutoka kambi ya JOTA/JOTI , ndugu mgeni rasmi leo hii tunaadhimisha miaka 53 tangu Jamboree hii ianzishwe na Shirikisho la Vyama vya Skauti Duniani.

0 Comments