Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Liu Xinsheng(katikati) akitangaza mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) ujio wa Meli ya Kivita ambayo inatumika kama Hospitali leo jijini Dar. Meli hiyo itaanza kutoa huduma za afya kwa baadhi ya wananchi wa Tanzania kuanzia tarehe 19-10.2010 hadi 24.10.2010. Wengine ni Naibu Mkuu na Mshauri wa Masuala ya Siasa katika Ubalozi Fu Jijun(kulia) na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Sozy Mahmoud (kushoto).Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa
Amekutana na Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna
-
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB,
Bi. Ruth Zaipuna ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Ka...
10 minutes ago
0 Comments