Mtumiaji hii siyo sigara bali ni karatasi ngumu ambayo utatakiwa kutumia kwa kujipima baada ya uke kuwa mkavu kidogo yaani siku ya tatu unakiweka hicho kikaratasi tumia hii kwa kupima majimaji yale ya rangi ya kahawia ili uweze kufahamu kama umepata 'Infection' ukeni kwako. Utafahamu hilo mara baada ya kutoa karatasi hiyo . Angalia kama kipimo chako kimebadilika rangi na endapo kitakuwa kimeingia katika kibox cha 1 hadi3 ujue huenda una fangasi na 'Infection' ndogondogo hivyo itakusaidia kujitibu kwa haraka, lakini endapo vibox vyote vitabadilika rangi nenda kamwone Daktari bingwa wa wanawake huenda tayari unanyemelewa na kansa au unayo kwani kinga ni bora kuliko tiba.
Hiki ndiyo kipimo chenyewe unakiweka katika ukeni kwa sekunde chache kisha unatoa, pia amelekezo zaidi yapo kwenye pakti hiyo.
Pakiti ya Pad hizo salama zinavyoonekana ambapo ni madhubuti na inauzwa sh.11,000 kwa pakiti moja. Huku mtumiaji akitumia pakiti 1 hadi unapomaliza mzunguko wako tofauti na ilivyo sasa pad nyingi hazina Cotton ndani kama huamini chana hiyo uliyonayo sasa hivi utakubali maneno yangu mdiyo sababu nyingi hutoa siri nje nadhani kina mama mnanielewa.Binafsi nimekutana na swaga hili nikaona siyo vibaya kama nitawaambia na wadau kwa lengo la kulinda afya zetu hasa katika eneo hilo nyeti.Kama utahitaji tuma ujumbe mfupi nami nitakufikishia popote pale ulipo kwa sababu bidhaa hii inapatikana ON LINE.
0 Comments