GOLDEN MOMENT YA SERENGETI FIESTA DODOMA ILIVYOFANA

Nahodha wa timu ya Mashabiki wa Chelsea John Kanakamfumu
akipokea kombe kutoka kwa afisa mauzo wa Serengeti Breweries Dodoma
Emanuel Bonanza la baada ya kuibuka washindi katika bonanza la Serengeti
Fiesta Soccer Bonanza mjini Dodoma. Rodrick Mwambene, alisafiri kutoka Dar Es Salaam kwa ajili ya kuipa nguvu
timu yake ya Mashabiki wa Chelsea. Maharusi na Golden Moment wakielezea furaha yao mara baada ya upangaji wamakundi katika hotel ya Royal Vilage Dodoma.Bwana Harusi na mnazi mkubwa wa Liverpool na Bibi Harusi ni Chelsea FC, naanamzimia Didier Drogba.(Picha zote na Mdau Peter Ngassa Business Development DirectorR & R Associates LtdP.O Box 105709, Dar Es Salaam, Tanzania)



Mashabiki wa Chelsea wakishangilia na kombe lao baada yakuifunga Real Madrid kwa goli moja kwa bila katika mechi ya fainali yaSerengeti Fiesta Soccer Bonanza mjini Dodoma. Katikati ni RodrickMwambene, Shabiki wa Chelsea aliyesafiri kutoka Dar kwa ajili ya kuipanguvu time yake, Bonanza hilo la Serengeti Fiesta ni muendelezo wa Msimuwa Dhahabu unaoendelea.

Post a Comment

3 Comments

Anonymous said…
Eti Chelsea/Real Madrid!!!Watanzania tuache upuuzi huu wa kuiga timu za kigeni,ni aibu sana hata wenye timu zao wenyewe wakisikia watatushangaa sana,kama ni michezo si muunde timu kamili ili kuendeleza soka la Tanzania???Mjue kuwa mnapoteza muda bure na tabia hii ikiendelea baada ya miaka michache ijayo hatutakuwa na timu zetu tena,pia soka litakwisha kabisa Tanzania,tuache ujinga.
mdau London.
Anonymous said…
huu ujinga mtupu alex luambano
Anonymous said…
Ni kweli huu ni ujinga na kupoteza muda,tabia hii ikome kabisa Tanzania ili kuendeleza soka nchuni mwetu,maana tunapoteza muda bure.