Social Icons

Saturday, April 2, 2011

SUPER D KUTOA VIDEO YA MAFUNZO YA NGUMI HIVI KARIBUNI

Kocha wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D' (kulia) akiwapatia maelezo ya video aliyoiandaa kwa mtindo wa DVD ambayo itaweza kuwafundisha mchezo huo, Dar es Salaam jana Mabondia, Maneno Osward, Robart Mroso na Chaurembo Palasa. Video hiyo inatarajiwa kuingia mtaani hivi karibuni kwa wapenzi wa mchezo huo yaaani manunuzi ya jumla na rejareja piga simu SIMU 0787/0774/07 (Picha na Mpiga picha Wetu).

No comments:

 
 
Blogger Templates