Wakati tiketi kwa ajili ya kwenda kushuhudia mechi ya marudiano baina ya Simba na TP Mazembe yenye maskani yake Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), utakaopigwa kesho Jumapili zikianza kuuzwa tangu jana, uongozi wa Simba umesema utawachukuia hatua kali na za kisheria kwa watu ambao watajaribu kughushi tiketi hizo. Taarifa zilizopatikana toka ndani ya Klabu hiyo yenye makao makuu yake mitaa ya Msimbazi zimewasisiza mashabiki kununua tiketi halali kwani kutakuwa na uhakiki na ulinzi wa hali ya juu wa tiketi siku ya pambano hilo.
WAZIRI MKUU AONGOZA MKUTANO MKUU WA JIMBO LA BUSEGA
-
*Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi
(CCM) na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Kassim
Majaliwa, ak...
17 minutes ago
0 Comments