Marehemu MC Pillilli enzi za uhai wake.
# TANZIA ,DODOMA
Mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias anayefahamika na wengi kama MC Pilipili, amefariki dunia ghafla mchana leo tarehe 16, Novemba 2025.
MC Pilipili ambaye jioni ya leo alitarajiwa kwenda kufanya kazi yake ya ushereheshaji jijini Dodoma alisafiri kuelekea jijini humo kabla ya kufikwa na mauti.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya General, Dodoma, Ernest Ibenzi amethibitisha taarifa hizo na kueleza kuwa MC Pilipili amefikishwa hospitalini hapo akiwa tayari amefariki dunia.
Bwana alitoa na Bwana Amerwaa Jina lake lihimidiwe ,tunakuombea Pumziko la milele Amen.

0 Comments