MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO ASHIRIKI MKUTANO WA LDCs,QATAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki Mkutano wa pembezoni wa nchi zinazoendelea (LDCs) ulioongozwa na Waziri Mkuu wa Nepal Mhe. Kadga Sharma Oil na kuhudhuriwa na mataifa rafiki yaliyoendelea. 

Mkutano huo umejadili tathmini ya utekelezaji wa azimio la Mkutano wa Tano wa Umoja wa Mataifa wa nchi zDinazoendelea uliofanyika Doha nchini Qatar mwaka 2023.


 

Post a Comment

0 Comments