GONGORO AMECHUKUA FOMU YA KUWANIA UBUNGE WA JIMBO LA KIBAHA MJINI

Mwenyekiti  wa Stoma Care  Tanzania  Khalid Gongoro  mkaazi wa Kibaha  amechukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kibaha Mjini  Mkoani Pwani leo tarehe Mosi Julai 2025 .

Gongoro amesema kuwa  amepata hamasa ya kuwania nafasi hiyo kwa lengo la kuwatumikia wazawa wa Jimbo hilo.

Kutoka kushoto ni  Hassan  Kapilima (Katibu  wa Stoma Care) Gongoro  na Hussein Waziri  (Mweka Hazina  Stoma Care).

Post a Comment

0 Comments