TPA YATANGAZA OPERESHENI YA UKAGUZI WA MAGARI YANAYOINGIA BANDARINI KUANZIA JUNI 16

 TPA imebainisha kuwa itaendelea kupokea taarifa zote zinazohusiana na huduma zake kupitia njia rasmi. Wateja wanaweza kutembelea Kituo cha Huduma kwa Wateja (One Stop Centre) kilichopo ghorofa ya 6 ya Jengo la Makao Makuu ya TPA. Mawasiliano yanaweza pia kufanywa kupitia simu ya bure namba 0800-110032, barua pepe customercare@ports.go.tz, tovuti rasmi www.ports.go.tz, na mitandao ya kijamii ya Instagram, X (Twitter) na Facebook kwa jina la mtumiaji @tpa_tz. Huduma hizi zinapatikana saa 24 kwa siku, siku zote saba za wiki.

Hatua hii ya TPA inatazamiwa kuleta mabadiliko makubwa katika ufanisi na usalama wa shughuli za bandari, ikiwa ni sehemu ya mikakati ya Serikali ya kuboresha miundombinu na utoaji huduma nchini.

Post a Comment

0 Comments