RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA VIONGOZI WA KAMPUNI MBALIMBALI IKULU



Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Viongozi Wakuu wa Makampuni mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam 03,Oktoba, 2024.

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye  kwenye mazungumzo na Mwenyekiti wa  Bodi ya  Wakurugenzi  na Kundi la Makampuni  ya Vodacom  Bw.Sakunzi Macuzoma pamoja na ujumbe wake  mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam  03,Oktoba, 2024.

Rais Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo  na Rais  wa Samsung  & T Corporation  Oh Se -Chul  pamoja na  ujumbe  wake  Ikulu Jijini Dar es Salaam  03 Oktoba,2024.
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akiangalia  picha  ya kuchora  aliyozawadiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi  Kunri  la Makampuni  ya Vodacom Bw.Sakunzi Macuzoma mara baada ya  mazungumzo leo 03,Oktoba, 2024.
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na  Mwenyekiti  wa Bodi  na Afisa  Mtendaji  Mkuu wa Mfuko wa Abbat Bw. Robert Ford pamoja na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam  03 Oktoba,2024.

Post a Comment

0 Comments