Luteni Kanali Faustine Komba akila kiapo cha ku2q Mkuu wa Wilaya ya Rufiji mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge leo 05,Septemba 2024 baada ya uteuzi uliofanywa na Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan hivi karibuni ,hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Pwani.
Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Luteni Kanali Faustine Komba akila kiapo leo 05,Septemba,2024.

Kutoka Kulia ni Mkuu wa Kikosi cha 832 KJ Ruvu Kanali Peter Elius Mnyani anayefuata ni Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Christopher Myava.
0 Comments